Mkurugenzi wa PAPPA-ZI, Zakaria Hans Poppe akimkabidhi kitita cha Dola 500 Miss Chang'ombe 2011, Sinsia Kimasha katika tafrija maalum ya kukabdhi zawadi kwaa washindi na washiriki wa shindano hilo Dar es Salaam jana. PAPPA-ZI walikuwa ni mmoja wa wadhamini wa shindano hilo.
Husna Twalibu (kushoto) na Joyce Maweda wakionesha Mkwanya wao.
Balozi wa PAPPA-ZI, Jacquline Wolper akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili Husna Twalib kiasi cha Dola 300
Mwandaaji wa shindano hilo Tom Chilala akimkabidhi zawadi mmoja wa washiriki wa shindano hilo Dola 100.
Miss Chang'ombe 2011, Sinsia Kimasha akiwa na washindi wenzake na dola zao mkononi baada ya kukabidhiwa zawadi zao na Mdhamini wa Shindano hilo lililofanyika wiki iliyopita PAPPA-ZI . Kulia ni Mshindi wa pili Husna Twalibu na Mshindi wa tatu Joyce Maweda.
Hans Poppe akiwa katika picha ya pamoja na warembo.
Warembo wakipozi kwa picha
Jacquline Wolper akiwa katika picha ya pamojaa na warembo.
Wakiangaliaa burudani baada yaa kukabidhi zawadi.
0 comments:
Post a Comment