Nafasi Ya Matangazo

June 16, 2011

 Hatiyame kilio cha wakazi wa Gongolamboto na Vitongoji vyake cha eneo la barabara kati ya Uwanja wa Ndege hadi Banana kinacho jengwa na mkandarasi SKOL sasa kimeanza kupatiwa ufumbuzi na mkandarasi huyo aliyeanza kazi hiyo takribani mwaka mmoja uliopita sasa ameanza kuweka lami katika kipande hicho kifupi. SKOL wamekuwa wakijenga barabara hiyo kwa kusuasua kiasi cha kusababisha malalamiko kwa wananchi.
Wakazi wengi walikuwa wakihojo uwezo wa kufanya kazi wa kampuni hiyo iliyopata tenda ya kujenga barabara hiyo kutoka Mnazi Mmoja hadi Chanika kama kweli inaweza kufuatia kitendo chake cha mwaka mzima kuwepo kipande kidogo cha Banana hadi Airport.
Posted by MROKI On Thursday, June 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo