Nafasi Ya Matangazo

January 13, 2011

Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania akisaini katika kitabu cha wageni alipo mtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Dkt. Mary Nagu (Mb) ambapo walizungumzia masuala ya Uwekezaji baina ya nchi hizo mbili, leo asubuhi Ofisi ya Waziri Mkuu. Kulia aliambatana na Mkalimani wake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mh. Dkt. Mary Nagu (Mb) wa kwanza (kulia)akifafanua masuala ya Uwekezaji kwa Balozi wa Saudi Arabia Nchini, alipotembelea Ofisi hiyo leo asubuhi.
Posted by MROKI On Thursday, January 13, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo