
Msanii wa kikundi cha sanaa cha mjini Arusha akitoa burudani ya kupita kwenye nondo ikiwa na moto pembeni wakati wa bonanza la uzinduzi wa kinywaji cha Grand Malt kinachotengenezwa na TBL. Bonanza hilo lilifanyika kwenye viwanja vya Genera Tyre mjini Arusha.
0 comments:
Post a Comment