Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Picha na mpiga picha wetu.April 27, 2010
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Marealle akihutubia wanafunzi ambao ni wanachama wa CCM wakati wa hafla ya kukabidhi kadi za uanachama wa CCM kwa wanafunzi 201 wa tawi la CCM la Chuo Kikuu Kishiriki Cha Tiba cha KCMC.Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo Jumatatu. Picha na mpiga picha wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment