Nafasi Ya Matangazo

March 13, 2010

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimtunuku Richard Kasesela Stashahada ya Uzamili katioka Diplomasia ya Uchumi kutoka chuo cha Diplomasia Dar es salaam leo.Richard Kasesela akipata shavu toka kwa waubavu wake baada ya kutunukiwa Stashahada yake.
Mdau Noel Saming'o akiwa na wenzake baada ya kula nondo zao.
Jackline Matunda wa hazina nae alilamba yake ya Menejimenti ya Mahusiano ya Kimataifa.
Richar Kasesela akiwa na Adalbert Alchard (kulia) wakifurahia kumaliza.
Posted by MROKI On Saturday, March 13, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo