
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akijadiliana jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Augustino Ramadhani (kushoto) na Spika wa Bunge, Samwel Sitta wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika jana katika viwanja vya Mahakama Kuu, Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment