
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akimkabidhi Majarida yanayohusu Masuala ya Mazingira Kaimu Afisa Uhusiano Chuo Kikuu{UDOM} Bw Geriald Magili wakati wa hafla fupi ya iliyofanyika Ukumbi wa Habari Bungeni Mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment