Nafasi Ya Matangazo

October 08, 2009

Baadhi ya washiriki wa shindano la Bongo Star Search (BSS) wakila pozi la picha leo wakati wa kutangaziwa zawadi. Kutoka kulia ni Jackson george (Tanga), Beatrice William (Mwanza), Kelvin Mbati (Dar es salaam) na Pascal Cassian (Mwanza).
Mkurugenzi wa BenchMark Production Maadam Ritta akitangaza zawadi za washindi wa shindano la Bongo Star Search 2009 Dar es Salaam leo ambapo mshindi atapata milioni 25. Kulia ni Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Emmilian Rwejuna na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe.
Aidha mshindi wa pili ataondoka na Milion 5, Mshindi wa tatu Milioni 3 na zawadi za laki 5, wanne kupata Milioni 1.5 na watano atapata Milioni 1.
Posted by MROKI On Thursday, October 08, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Yule PITA MSECHU mbona simuoni hapo?

    Au ndo kaenda Kwao Kigoma kuonana na KALUM***ILA ili arekebishe mambo?

    Poa mwanangu kweli bwana tusisahau utamaduni wetu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo