Nafasi Ya Matangazo

September 10, 2009

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia, Hasan Wilayuda baada ya mazungumzo yao rasmi jijini Jakarta jana. Pinda yuko nchini Indonesia kwa ziara ya kikazi.(
Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mazungumzo yake na Waziri wa Kilimo wa Indonesia, Anton Apriyantono (kushoto kwake) jijini Jakarta jana. Pinda yuko Indonesia kwa ziara ya kikazi.
Posted by MROKI On Thursday, September 10, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo