kifaru cha kurushia makombora. Vifaa mbalimbali na silaha vinaoneshwa kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya JWTZ kutimiza miaka 45.
Bomu hili kwa limebatizwa jina MBAGALA, maana ni kama yale yaliyolupuka katika kambi ya Jershi Mbagala.
SAJETI Daniel Mwakipesile akiwaonesha wananchi namna RPG inavyobebwa wakati wa kupiga.
Mbayuwayu hizo wananchi wakipata maelezo yake wakati wa maoneshio maalumya JWTZ katika kuadhimisha mika 45 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Kilele kitakuwa Septemba 1, 2009.
Hata wewe ukifika pale Ukongha Airwing utajionea mambo haya. Wahi kabla ya Jumanne Septemba 1.
Mroki hivi hizo ndizo ndege tulizo nazo au ni za maonyesho, kama ni kweli basi Tanzania tupo nyuma kabisa...
ReplyDeleteNaomba msaada wako ktk kutafuta ukweli maana matafaifa kibao wana madege ya kisasa.