Nafasi Ya Matangazo

August 31, 2009

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Askofu Method Kilani wa jimbo kuu la Dar es salaam. Mama Salma Kikwete akiagana na akinama awaliohudhuria futari hiyo Ikulu.
Akiagana na viongozi wengine
Furati iliandaliwa Ikulu Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Monday, August 31, 2009 2 comments

2 comments:

  1. Mwee hivi jamani rais wetu ana matatizo gani?? Yaani yeye ni kutanua tu sasa na hivyo vigift bags ni vyanini??

    ReplyDelete
  2. nadhani hicho kilikuwa dinner na sio futari kwani kuwa wengine hawakufunga...

    au sio kweli?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo