Bwana Fadhili Akida na Mkewe Bi. Shufaa wakiwa katika nyuso za furaha wakati wa tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika Julai 4 2009 katika ukumbi wa Msasani Club Dar es Salaam.
Shufaa akiweka alama ya ndoa yao kwa kumvisha pete Fadhili.
Fadhili akimvisha pete mkewe Shufaa.
Mziki ulifunguliwa mapema na watu walianza kujirusha mduara hadi basi.
Pius Ntiga akitoa pongezi.
Kyao Hoza akigonga glasi kuwatakia heri maaharusi.
Doble G akigonganisha glas wakati wa tafrija hiyo.
Wakwe wakijisevia msosi.
Marafiki wa Fadhili Akida kutoka kushoto, Athuma, Zamzam na Gondwe.
Marafiki ambao pia ni wafankazi wenzake na Fadhili katika tasnia ya Habari wakiyarudi magoma wakati wa zawadi. Kutoka kushoto ni Pius Ntinga wa Uhuru FM, Godwin Gondwe wa Redio One, Mrs Mroki na Father Kidevu wa Habarileo.
Hapa ni katika picha ya pamoja.
hivi kwa nini harusi za kiswahili huwa wanawapamba ma bibi harusi mpaka mtu anakua kama kinyago...poda embu angalia mikono na uso aka
ReplyDeletebtw congratulations Mola awajalie ndo ya kheri
naona umemechisha na wife
ReplyDeletemrocky waifu ni mzuri sana ila mbona hajirembi au unaogopa utaibuwa!! Hivi hujui wewe tayari ni superstar wa bongo so waifu pia ni star poda kidogo basi na kalipustick..
ReplyDelete