Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2009

DJ G wa Redio Mlimani akifanya vitu vyake leo katika Banda la Maonesho ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. DJ G yupo mwaka wa pili katika Taasisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC).
Posted by MROKI On Sunday, July 05, 2009 1 comment

1 comment:

  1. Hawa redio Mlimani walikuwa wakisikika mtandaoni mwaka 2007, ni kitu gani kilitokea hadi wamepotea hivyo? Tadhali Father Kidevu, ukiwaona tena hawa wahusika, wakumbushe kuhusu kufufua redio yao ya mtandao na pia kusoma barua pepe zao.
    Asante.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo