
Februari mbili mwaka huu Albino wa mkoani Mwanza waliandamana kupinga wale wanaorudisha nyuma juhudi za serikali za kukomesha mauaji ya walemavu hao na vikongwe.

Ujumbe kwa Hamad Rashid

Tushirikaiane sote katika kukomesha mauaji ya ya ndugu zetu hawa ambao jhawana hatia. Kwaniaba ya wadau wote nalaani vikali mauaji na mateso yote kwa ndugu zetu hawa.
0 comments:
Post a Comment