Nafasi Ya Matangazo

February 03, 2009

Mustafa Hassanali akizungumza na waandishi wa habari juu ya onyesho la mavazi ya maharusi litakalo fanyika February 7 2009 katika ukumbi wa Little Theatre Club Dar es Salaam.
Mustafa Hassanali akizungumza na waandishi wa habari juu ya onyesho la mavazi ya maharusi litakalo fanyika February 7 2009 katika ukumbi wa Little Theatre Club Dar es Salaam. Kulia ni Beatrice Singano wa Zain na kushoto ni Teddy Mapunda wa Kamuni ya Bia ya Serengeti ambao wamedhamini onyesho hilo kupitia bia yao ya Stella Artois.
Ilifika wakati wa Pozi, Mustafa na wawakilishi wa makampuni ya liyodhamini onyesho lake.
Posted by MROKI On Tuesday, February 03, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo