
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia), akikabidhi madawati 24 kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Upendo Elizabeth Yona yenye thamani ya shs milioni 3 yaliyotolewa na Tigo kwa ajili ya shule hiyo, iliyopo Kongowe, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa sule hiyo, Maureen Chiwela.
0 comments:
Post a Comment