
Wathuhumiwa wa matumizi mabaya ya madaraka Amatus Liyumba (kulia) na Deogratius Kweka wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana kusomewa mashitaka yao yaliyo husu ujenzi wa Minara miwili wa Benki Kuu ya Tanzania na kuitia hasara serikali.

Mtuhumiwa Liyumba akitoa maelekezo kwa mtu ambaye hakufaahamika mara moja mahusiano nae mara baada ya kusomewa mashitaka na kupelekwa mahabusu.
Hii kesi haihusiani kabisa na EPA mbona unatupotosha father K?
ReplyDeleteAu wewe ni mmoja wa wale waandishi fulani hivi?