
Wanenguaji wa Bendi ya FM Academia wakilishambulia jukwaa la Club Aventure mjini Moshi wakati bendi hiyo ilipotumbuiza mashabiki na wakazi wa mjini humo. Bendi hii inaelekea Arusha kufanya makamuzi ya aina hii.

Mashabiki wakijimwaka na wazee wa Ngasuma

Wahudumu maalum wa bia ya Heineken wakijiandaa kwa shoo yao

Seif Mbonda mpiga tumba wa FM Academia wazee wa Ngasuma akifanya vitu

Hapa ilikuwa kazi kwa wazee wa Heineken kuonyesha ufundi wao

Presidaa Nyoshi El Saadat akiweka mambo yake jukwaani.
Warembo wa Heinken walipendeza sana
ReplyDeleteKidevu nilitaka picha ya wanaume wa Ngwasuma wakishambulia jukwaa bwana ipo wapi
ReplyDelete