
Meneja Uhusiano wa Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule, akizungumza na baadhi ya makamanda wa Polisi waliotembelea katika ofisi za makao makuu ya Vodacom Dar es Salaam leo kujifunza mambo mbalimbali kuhusu masuala ya uongozi. Maofisa hao wanaendelea na kozi yao kwenye Chuo Maofisa wa Jeshi la Polisi Kurasini jijini humo.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tigo, Pablo Guardia, akizungumza na baadhi ya makamanda wa Polisi waliotembelea makao makuu ya kampuni hiyo Dar es Salaam leo.
Jeans na shati ambalo halijachomekewa kazini? Wakati mwingi watu hawako makini kabisa na kazi. Kuna uhusiano wa karibu sana kati ya mtu anavyovaa na utendaje wake wa kazi.
ReplyDelete