Wakazi wa kijiji cha Embukoi wakilia kwa uchungu wakati mili ya watoto waliolipukiwa na bomu ikichukuliwa na polisi kwa ajili ya kuhifadhiwa katika hospiutali ya Kibong’oto iliyopo wilayani Siha Mkoani Kilimajaro.
Mkwe ni kweli inasikitisha sana, lakini kama usipotuhabarisha tutajuaje? Picha zinasikitisa lakini ndio ukweli wenyewe. Wenzetu wanasema visuals are stronger than anything, manake lazima tuwe Tomaso
Hallow bro Mroki, Tafadhali tunakuomba uondoe hizo picha za miili ya hao watoto waliolipukiwa na bomu. Ki-Ustaarabu mtu akifa sio vyema kuonyesha maiti yake.
Mkwe ni kweli inasikitisha sana, lakini kama usipotuhabarisha tutajuaje? Picha zinasikitisa lakini ndio ukweli wenyewe. Wenzetu wanasema visuals are stronger than anything, manake lazima tuwe Tomaso
ReplyDeleteHallow bro Mroki,
ReplyDeleteTafadhali tunakuomba uondoe hizo picha za miili ya hao watoto waliolipukiwa na bomu. Ki-Ustaarabu mtu akifa sio vyema kuonyesha maiti yake.
Mdau,
Ugweno.
Kaka Mroki'
ReplyDeleteSio jambo jema kuonyesha miili ya watu kama hivyo jamani. Embu fikiria angekuwa mtoto wako ungejisikiaje?
Nakuomba father kidevu uondoe hizo picha za miili ya watoto waliouwawa na bomu. kiustaarabu mtu anapofariki si vema kuonedha maiti yake.
ReplyDeleteahsante.
Mdau-Ugweno
unaomba msamaa wa kuonyesha hizo ingawa umeamua kuonyesha anyway ndiyo upuuzi wenu wapiga picha wa kibongo
ReplyDelete