Nafasi Ya Matangazo

March 20, 2023

Sehemu ya Mashamba yanayotumika katika programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua Program ya kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (BLOCK Farning) Mkoani Dodoma leo tarehe 20 Machi 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa Funguo Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya umwagiliaji Raymond Mndolwa kwa ajili ya  Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusiana na Miundombinu ya umwagiliaji mara baada ya kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Vijana mfano wa hundi ya Sh. Milioni 200 kwa ajili ya Shughuli za Kilimo kwa Vijana hao kwenye mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming), Chinangali Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Dodoma mara baada ya kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa (Block Farming) ya pamoja Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Viongozi mbalimbali wakimkisikiliza RAIS wakati akizungumza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusiana na Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati akizindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti katika eneo la Mradi wa Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi pamoja na Kikundi cha ngoma za asili za Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili Chinangali Mkoani humo tarehe 20 Machi, 2023.

Posted by MROKI On Monday, March 20, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo