Nafasi Ya Matangazo

March 15, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Maua kutoka kwa Mtoto Malaika Adam Issara mara baada ya kuwasili Jijini Pretoria kwa ajili ya ziara ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima ya kijeshi mara baada ya kuwasili nchini humo tarehe 15 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiimba pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi Pretoria nchini Afrika Kusini (Diaspora) mara baada ya kuwasili nchini humo tarehe 15 Machi, 2023
Posted by MROKI On Wednesday, March 15, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo