Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2023

Mbunge wa Chalinze ameshiriki sherehe za kuwaaga wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Kikaro Miono. Katika sherehe hizo Mh. Mbunge aliwasisitizia wanafunzi hao kuepuka tamaa za dunia   kujali masomo kwanza.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la CHALINZE, Ridhiwani Kikwete akiwatunuku vyeti wahitimu wa kidato cha sita 
shule ya sekondari ya Kikaro Miono Mkoani Pwani.
Posted by MROKI On Sunday, March 19, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo