Nafasi Ya Matangazo

March 19, 2023

 
Jengo lenye la choo lenye matundu 17 ambalo taasisi ya IFM CHARITY limejenga.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akimkabidhi baiskeli za miguu mitatu kwa watoto wenye ulemavu.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akifungua vyoo hivyo.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameshiriki sherehe ya Miaka 10 ya Taasisi ya IFM Charity kwa kufungua Vyoo vilivyojengwa na Taasisi hiyo na kula chakula nao katika kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Hope-Miono, Chalinze. Akizungumza katika hafla hiyo, Kikwete aliwashukuru wanachuo hao kwa kujali wenye uhitaji.
Posted by MROKI On Sunday, March 19, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo