Nafasi Ya Matangazo

March 15, 2023

Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima. Makabidhiano hayo ya ofisi yamefanyika  Machi 14,2023 katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) na Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima wakitia saini nyaraka za makabidhiano ya ofisi. Makabidhiano hayo ya ofisi yamefanyika Machi 14,2023 katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima akizungumza wakati wa makabidhiano hayo. 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima akizungumza wakati wa makabidhiano hayo. 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera akizungumza wakati wa makabidhiano hayo.
Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu wa Tume, Leonard Tumua akizungumza
Mjadala ukiendelea 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima  wakipeana mikono.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima  wakipeana mikono.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima  wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa Idara. 

Posted by MROKI On Wednesday, March 15, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo