Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2014

 Nyumba ina Mastar Bedroom 1, Rooms za kawaida 2 za kulala, Siting Room, Dining Room, Public Toilet, Store, Ina Uzio Mkubwa na maegesho ya magari. Pia ina Kijijumba kidogo kwa nje hakijamaliziwa ujenzi wake.

Nyumba ipo Eneo la KISASA mjini Dodoma, jirani na Pub Albeto na sio mbali na barabarani.
Gharama ya Kodi ni 350,000/= kwa Mwezi na Kodi ni ya Mwaka mmoja. 
Mawasiliano zaidi piga simu: +255 655 261 032.

Posted by MROKI On Sunday, November 23, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo