Nafasi Ya Matangazo

September 05, 2014

Basi la J4 Express  T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo asubuhi na watu zaidi ya 30 wanahofiwa kupoteza maisha huku webngine kadhaa wakijeruhiwa.

Ajali hiyo mbaya ambayo inaelezwa kuvunja rekodi ya matukio ya ajali ya baravbarani yakihusisha mabasi kuwahi kutokea kwa mwaka huu, imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma wakati moja ya mabasi hayo yakiovateki gari lingine. Father Kidevu Blog itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.
 
Posted by MROKI On Friday, September 05, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo