Nafasi Ya Matangazo

December 17, 2012


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimpa zawadi Bw. Miraji Ahmed Saleh kwa kuibua mfanyakazi bora na pia mfanyakazi hodari wa  Ofisi ya Rais Ikulu. Bw Saleh ni  Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi katika  Idara ya Huduma  za Ikulu na Zahanati katika hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipozi na kikosi kizima cha michezo mbalimbali cha Ikulu Sports Club ambacho kilinyakua jumla ya makombe matano katika michezo mbalimbali ya Shirikisho la Michezo ya Wizara  (SHIMIWI)  mwaka huu mjini Morogoro. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora  iliyofanyika leo Deswemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Kwenye michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 10 mwakq huu, ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara  56, mikoa 18 na idara za serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki walifanikiwa kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal,  Kuvuta kamba wanawake na wanaume  na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa wanawake na wanaume.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akinyanyua juu mojawapo ya makombe matano ambayo Ikulu Sports Club ilinyakua kwenye michezo ya SHIMIWI ya  maka huu mjini Dodoma katika  hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Kwenye michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 10 mwakq huu, ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara  56, mikoa 18 na idara za serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki walifanikiwa kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal,  Kuvuta kamba wanawake na wanaume  na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa wanawake na wanaume.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa nane toka kulia ) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi (kulia kwake)  na Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Ikulu  katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akiwa na  Mwadawa Twalibu, Sophie Komba na Pascalia Kibayasa wachezaji wa  netball wa Ikulu Sports Club ambao pia ni wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Queens) ya mchezo huo kwenye  hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa nane toka kulia ) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi (kulia kwake)  na Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Ikulu  katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue  akiwa na  Mwadawa Twalibu, Sophie Komba na Pascalia Kibayasa wachezaji wa  netball wa Ikulu Sports Club ambao pia ni wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Queens) ya mchezo huo kwenye  hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika picha na Bw. Miraji Ahmed Saleh ambaye ameibuka kuwa mfanyakazi Bora na Hodari kwa mpigo, akiwa kama Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi katika  Idara ya Huduma  za Ikulu na Zahanati katika  hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Posted by MROKI On Monday, December 17, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo