Malipo ya waathirika wa mabomu Mbagala yameanza kutolewa leo katika Ofisi za Manipaa ya Temeke Dar es Salaam. Pichani ni wakzi hao wakisubiri kuitwa.
Wakihakiki picha zao za majengo na walipwaji halali.
Wakipokea Hundi zao kutoka kwa maofisa husika wa Manipaa.
Akionesha hundi yake japo hakuridhika na malipo aliyopata ya sh Milioni 1.6.
Waliona malalamiko waliwasilisha baada ya kupokea Hundi au kabla.maana wapo wanaolipwa 30,000 wakati alitaraji milioni kadhaa.
0 comments:
Post a Comment