Nafasi Ya Matangazo

July 17, 2009

Treni kitalii ya Rovis Rail kutoka Afrika Kusini imewasili Dar es Salaam katika stesheni ya TAZARA ikiwa na watalii zaidi ya 50. Treni hii itatumiwa na mashabiki na watalii wakati wa michuano ya kombe la Dunia nchini humo 2010. Nawatembeza kuiona ndani na nje.
Mabehewa yake.
maofisa wa TAZARA wakitoka katika mabehewa hayo. Hapai baa, ambapo abiria wanaweza kujipatia vinywaji vya aina zote.
Moja ya vyumba vya mapumziko.
Room ya daraja la pili ipo hivi.
Mhudumu mmoja wapo katika treni hiyo iliyo na mazingira tofauti na zetu tulizonazo.
Hapa ni maliwatoni.
Maofisa wa TAZARA wakiwa katika chumba cha kulala daraja la kwanza.
Kitanda cha daraja la kwanza.
Huu ni mgahawa ndani ya treni
Posted by MROKI On Friday, July 17, 2009 6 comments

6 comments:

  1. AnonymousJuly 17, 2009

    Duh!

    Mkuu huyo Muhudumu hukufanikiwa kupata kontakt zake?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2009

    aaaah maisha haya natamani tanzania ingekuwa na kamoja tu ka haka jaman ngekuwa naenda kumsalimia bibi mimi kigoma kila wiki....!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2009

    Je ni bei gani kwa return trip?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2009

    Hivi yule Mwekezaji wa Kihindi wa Kampuni ya TRL anayewekezwa na Serikali yetu hawezi kutufanyia mabehewa yetu ya "central line" walau yakafananafanana kidooogo na haya?

    ReplyDelete
  5. Hivi hao maafisa wa TAZARA hawana shughuli ya kufanya huko ofisini kwao?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo