Nafasi Ya Matangazo

June 28, 2009

Haroub Othman Professor in Development StudiesUniversity of Dar es Salaam

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Prof Haroub Othman (pichani) amefariki dunia alfajiri ya leo katika Kisiwa cha Unguja mjini Zanzibar. Habari zilizoifikia blog hii zinasema Prof Othman alifariki akiwa usingizini na usiku alikuwa katika tamasha la Majahazi lililoanza jana visiwani humo.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala Pema Amina.
Haroub tutamkumbuka kwa makala zake nyingi na uchambuzi kadhaa juu ya mambo yanayoendelea nchini na Duniani.
Posted by MROKI On Sunday, June 28, 2009 3 comments

3 comments:

  1. AnonymousJune 28, 2009

    Kitaaluma tumepoteza mtu ambao mchango wake ulikuwa na manufaa kwa watanzania na taifa kwa ujumla,
    REST IN PEACE pROF.



    Nana mollel

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2009

    "Oh my God! tumeondokewa na kifaa UD! tutakumbuka mengi aliyotuachia tukiwa shule na baada ya shule! mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu! Amen."

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2009

    Tumempoteza msomi mwanaharakati, mwanamapinduzi na mzalendo. Mimi nimefahamiana naye tangu 1969. Poleni sote kwa msiba huu mkubwa

    Nizar

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo