Taswira ya
Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama
pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 05 Aprili, 2025 Jijini
Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa
kuashiria uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Jengo la Tume
ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Jengo
la Makazi ya Majaji kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Makao Makuu ya
Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa
kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini
Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Mtendaji Mkuu wa Mahakama Profesa Elisante Ole Gabriel kuhusu ujenzi wa Jengo
la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea
jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania mara baada ya uzinduzi Jijini
Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Taswira ya
Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama
pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 05 Aprili, 2025 Jijini
Dodoma.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Majaji, Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa
Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama
pamoja na Makazi ya Majaji Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.

Majaji pamoja
na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya
Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji
katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05
Aprili, 2025.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Ndg. Majid Nsekela akiwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama
ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika
viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili,
2025.

Wageni
mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama
ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika
viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili,
2025.
Mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewji akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama
ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika
viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili,
2025.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
0 comments:
Post a Comment