Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele,
akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi
uliofanyika leo Novemba 29, 2024 mkoani Arusha ikiwa ni maandalizi ya
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba
11 hadi 17, 2024. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi
wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari,
Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa
Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila.
Makamu Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji wa Rufaa(Mstafu) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi
uliofanyika leo Novemba 29, 2024 mkoani Kilimanjaro ikiwa ni maandalizi ya
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba
11 hadi 17, 2024. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi
wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari,
Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa
Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila.
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji wa Rufaa(Mstafu) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Novemba 29, 2024 mkoani Kilimanjaro ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024.
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele,
akizungumza wakati wa mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi
uliofanyika leo Novemba 29, 2024 mkoani Arusha ikiwa ni maandalizi ya
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba
11 hadi 17, 2024. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi
wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari,
Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa
Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchagizi wa
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani.
Mjumbe wa Tume Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar akifuatilia mada wakati wa mkutano.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani akiwasilisha mada ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Daftari na TEHAMA wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw.Stansalaus Mwita akiwasilisha mada ya Mfumo wa Uboreshaji wa Daftari katika mkutano huo. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Daftari na TEHAMA (Daftari), Bw. Martin Mnyenyelwa akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wadau kuhusu mfumo wa uboreshaji kilichofanyika Mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Habari na Elimu ya Mpiga Kura, Bi Giveness Aswile akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, wakati wa mafunzo kwa wadau kuhusu mfumo wa uboreshaji kilichofanyika Mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za kisheria wa INEC, Bw. Selemani Mtibora akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wadau mkoani Kilimanjaro. Wadau wa uchaguzi kutoka Mkoani Kilimanjaro wakiwa mkutano wa wadau.
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Arusha na Kilimanjaro utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 11 hadi 17 Desemba, 2024.
Wadau wa uchaguzi kutoka Mkoani Arusha wakishiriki mkutano wa Tumen a Wadau wa Uchaguzi ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi wa Asasi za Kiraia, Wahariri wa Vyombo vya habari, Waandishi wa habari, Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri, Wawakilishi wa Makundi mbalimbali ya Vijana, Watu wenye ulemavu, Wanawake na Wazee wa Kimila.
0 comments:
Post a Comment