Nafasi Ya Matangazo

July 28, 2021

Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo  Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo

Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar



Posted by MROKI On Wednesday, July 28, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo