Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2016

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge ,Ajira Vijana na Walemavu Jenesta Mhagama,(kulia) akiwapongeza  wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania walioshinda kwenye mashindano ya mbio yaliyofanyika kwenye uwanja wa zamani wa Taifa jiini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.(kushoto) ni Asmath Busigara na Mercy Maliwa.
 Baadhi ya washindi  wa michezo mbalimbali  wakiwa kwenye picha ya pamoja na wakiwa wanafurahia kinywaji cha Grand Malt
Wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania ,Asmath Busigara  wa kwanza na Mercy Maliwa, wakikimbia mbio  wakati  wa michezo iliyowashirikisha wanawake iliyofanyika katika uwanja wa taifa wa zamani jijini Dar es Salaam ambao waliibuka na ushindi.Maliwa pia alishiriki mbio za Kilometa 21 kwenye mashindano ya Kili Marathon yaliyofanyika karibuni.

Baadhi ya wafanyakazi  wanawake wa Kampuni ya  TBL Group, wakishiriki katika mazoezi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa zamani jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake itakuwa  Machi 8
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge ,Ajira Vijana na Walemavu Jenista Mhagama, (wa pili kutoka kulia) ,akishiriki mazoezi pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group,katika uwanja wa Taifa wa zamani mwishoni mwa wiki,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo  itafanyika  Machi 8
Posted by MROKI On Sunday, March 06, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo