Nafasi Ya Matangazo

March 08, 2016

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali Caroline Hanne Van, Raia wa Denmark kwa niaba ya watoto wawili (kitandani) waliodaiwa kuokotwa jana maeneo ya Mbezi Beach na kufikishwa hospitalini hapo leo asubuhi, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo Machi 8, 2016. Kushoto ni Emel Kudahl Christensen na wa tatu (kulia aliyekaa) ni Emma Nikoline Wennberg, wauguzi wa kujitolea kutoka nchini Denmark. Picha na Mafoto Blog
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali mzazi aliyejifungua mtoto wa Kiume, Hospitali ya Mwananyama, Joyce Lucas, mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa wazazi waliokuwa wamelazwa kweye Wodi ya Watoto wachanga/Njiti  katika  Hospitali ya Mwananyama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali mgonjwa mzazi aliyelazwa kwenye Wodi ya kina mama waliofanyiwa upasuaji Hospitali ya Mwananyama, jijini Dar es Salaam, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya Kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo

 Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (wa pili kulia) na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janet Ezekiel, wakiwaangalia watoto wawili waliodaiwa kuokotwa maeneo ya Mbezi Beach, waliofikishwa Hospitali ya Mwananyamala.
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, akigawa vitu mbalimbali kwa wagonjwa wazazi waliolazwa kwenye Wodi ya kinamama, wakati Wafanyakazi wa Mfuko huo walipofika Hospitalini hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wazazi na watoto ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo
 Picha ya pozi ......
 Picha ya pozi na mtoto.....

 Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakisubiri kuingia wodi ya wazazi wa upasuaji kugawa msaada wa vitu mbalimbali leo.
 Wafanyakazi hao wakipozi na baadhi ya vitu walivyoshusha kwenye magari yao kabla ya kuanza zoezi la kugawa.
 Wafanyakazi hao wakiendelea kushusha vitu hivyo kutoka kwenye magari...

Meneja wa PPF Kanda ya Kinondoni, Zahra Kayugwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya zoezi la kugawa vitu hivyo leo kwenye Hospitali ya Mwananyamala.
Posted by MROKI On Tuesday, March 08, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo