Meneja wa Benki ya Commercial Bank of Africa (CBA) tawi la
Arusha,Juliana Mwamsuva (kushoto) akipeana mkono na Catherine Mbugi
ambaye ni msimamizi wa kituo cha watoto yatima cha Faraja kilichopo
Kimandolu Arusha baada ya benki hiyo kukabidhi misaada mbalimbali kwa kituo
hicho
Meneja wa Benki ya CBA tawi la Arusha,Juliana Mwansuva
akibadilishana mawazo na Catherine Mbugi Msimamizi wa kituo cha
kulea watoto cha Faraja kilichopo Arusha.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CBA tawi la Arusha
wakiwasili katika kituo cha Faraja kwa ajili ya kutoa msaada kwa kituo ambapo
pia wafanyakazi walishiriki kulea watoto
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CBA tawi la Arusha
wakiwasili katika kituo cha Faraja kwa ajili ya kutoa msaada kwa kituo ambapo
pia wafanyakazi walishiriki kulea watoto
Baadhi wa wafanyakazi wakishiriki kuwalisha chakula watoto
wanaolelewa katika kituo cha Faraja
0 comments:
Post a Comment