Nafasi Ya Matangazo

November 17, 2015

Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai ashinda kiti vcha Uspika kwa kura 254 sawa na kura asilimia 70 huku mpinzani wake kupitia Chadema Goodluck Ole Medeye akipata kura 109 huku wagombea wengine wakipata kura 0.

NDUGAI anakuwa Spika wa 7 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye atahudumu kwa kipindi cha miaka 5 92015-2020) akiwa amechaguliwa na Bunge la 11. 
Posted by MROKI On Tuesday, November 17, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo