WABUNGE wa CCM ambao wamefanikiwa kuingia Bungeni
baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini kote Oktoba 25, 2015 ni kama
ifuatavyo.
Busega (Raphael Chegeni), Nyamagana (Stanslaus
Mabula), Msalala (Ezekiel Maige), Ngara (Alex Gashaza), Kigamboni (Faustine
Ndugulile), Kishapu (Suleiman Nchambi) na Kisarawe (Suleiman Jaffo).
Majimbo mengine ni Bagamoyo (Dk Shukuru Kawamba),
Ilemela (Angelina Mabula), Ilala (Mussa Azzan ‘Zungu’), Singida Mjini (Mussa
Sima), Same Magharibi (Dk Mathayo David Mathayo), Rungwe (Saul Amon), Mbogwe
(Augustino Masele), Chalinze (Ridhiwani Kikwete), Iramba Magharibi (Mwigulu
Nchemba) na Hanang (Dk Mary Nagu).
Aidha, majimbo mengine ni Njombe Kaskazini (Joram
Hongoli), Dodoma Mjini (Antony Mavunde), Mtama (Nape Nnauye), Babati Vijijini
(Jitu Soni), Kahama Mjini (Jumanne Kishimba), Sikonge (George Kakunda), Nzega
Mjini (Hussein Bashe), Urambo (Margaret Sitta), Mpanda Vijijini (Moshi Kakoso)
na Geita Mjini (Constantine Kanyasu). SOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Chama hicho pia kilijipatia ushindi katika
majimbo ya Mbeya Vijijini (Oran Njeza), Mafinga Mjini (Cosato Chumi), Kalenga
(Godfrey Mgimwa), Isimani (William Lukuvi), Songea Mjini (Leonidas Gama),
Mkalama (Allan Kiula), Newala (George Mkuchika), Kavuu (Dk Prudenciana
Kikwembe) na Kwimba (Mansoor Shanif).
Mengine ni Bukoba Vijijini (Jason Rweikiza),
Nyasa (Stella Manyanya), Kondoa Mjini (Edwin Sanda), Kondoa Vijijini (Dk
Kashatu Kijaji), Chemba (Juma Nkamia), Chamwino (Joel Mwaka), Mtera
(Livingstone Lusinde), Bahi (Omar Baduel), Mpwapwa (George Lubeleje), Kibakwe
(George Simbachawene) na Kongwa (Job Ndugai).
CCM pia imepata Sengerema (William Ngeleja),
Maswa Mashariki (Stanslaus Nyongo), Maswa Magharibi (Mshimba Ndaki), Itilima
(Njalu Silanga), Bariadi (Andrew Chenge), Meatu (Salum Hamis), Muheza (Balozi
Adadi Rajabu), Kasulu Mjini (Daniel Nsanzugwanko), Buhigwe (Albert Ntabaliba),
Handeni Vijijini (Mboni Mhita) na Morogoro Mjini (Abdulaziz Abood).
Gairo (Ahmed Shabiby), Rorya (Lameck Airo),
Ngorongoro (William Ole Nasha), Mvomero (Suleiman Murad), Morogoro Kusini
Mashariki (Mgumba Omary), Morogoro Kusini (Prosper Mbena), Nkasi Kusini (Deuderius
Mipata), Nkasi Kaskazini (Ally Keissy), Singida Kaskazini (Lazaro Nyalandu),
Singida Magharibi (Elibariki Kingu) na Igunga (Dk Dalaly Kafumu).
Mengine yaliyoenda CCM ni Solwa (Ahmed Salum),
Katavi (Issac Kamwele), Mpanda Mjini (Sebastian Kapufi), Mpanda Vijijini (Moshi
Kakoso), Nsimbo (Richard Mbogo), Ruangwa (Kassim Majaliwa), Sumbawanga Mjini
(Aeshi Hilaly), Kyela (Dk Harrison Mwakyembe), Ileje (Janeth Mbene) na Mbarali
(Pirmohamed Mulla).
Majimbo mengine yaliyochukuliwa na chama hicho ni
Busokelo (Atupele Mwakibete), Vwawa (Japhet Hasunga), Lupa (Victor
Mwambalaswa), Songwe (Philipo Mulugo), Madaba (Joseph Mhagama), Peramiho
(Jenista Mhagama), Kilosa Kati (Mohamed Bawazir), Kiteto (Emanuel Papian),
Mbulu (Paul Isaay) na Karagwe (Innocent Bashungwa).
Kyerwa (Innocent Bilakwate), Nkenge (Dk Diodorus
Kamala), Muleba Kusini (Profesa Anna Tibaijuka), Muleba Kaskazini (Charles
Mwijage), Biharamulo Magharibi (Mukasa Oscar), Mwibara (Kangi Lugola), Bunda
Vijijini (Boniphace Getere), Makete (Dk Norman Sigala), Kibaha Vijijini (Hamoud
Jumaa) na Sumve (Richard Ndassa).
Magu (Kiswaga Destery), Chato (Dk Merdad
Kalemani), Nzega Vijijini (Dk Khamis Kigwangallah), Njombe Mjini (Edward
Mwalongo), Mwanga (Profesa Jumanne Maghembe), Nyangh’wale (Hussein Kassu),
Newala Vijijini (Rashid Akbal), Butiama (Nimrod Mkono), Korogwe Vijijini
(Stephen Ngonyani) na Korogwe Mjini (Mary Chatanda).
Misungwi (Charles Kitwanga), Busanda (Lolensia
Bukwimba), Manonga (Seif Gulamali), Tabora Mjini (Emmanuel Mwakasaka), Mlalo
(Rashid Shangazi), Kisesa (Luhaga Mpina), Lindi Mjini (Selemani Kaunje), Mkinga
(Dustan Kitandula), Mbinga Mjini (Sixtus Mapunda), Mbinga Vijijini (Martin
Msuha) na Musoma Mjini (Vedastus Mathayo).
Mengine ni Geita Vijijini (Joseph Kasheku),
Kibaha Mjini (Silvestry Koka), Bukombe (Dotto Biteko), Shinyanga Mjini (Steven
Masele), Msalala (Ezekiel Maige), Pangani (Jumaa Aweso), Mufindi Kaskazini
(Mahamoud Mgimwa), Mufindi Kusini (Mendrad Kigola), Kilolo (Venance Mwamoto) na
Maswa Mashariki (Stanslaus Nyongo).
Maswa Magharibi (Mashimba Ndaki), Chilonwa (Joel
Mwaka), Mtwara Vijijini (Hawa Ghasia), Nanyamba (Abdallah Chikota), Tunduru
Kusini (Daimu Mpakate), Tunduru Kaskazini (Ramo Makani), Bunda Vijijini
(Boniface Mgetere), Mkuranga (Abdallah Ulega) na Mbulu Vijijini (Gregory
Massay) nayo yameenda CCM.
Mengine ni Mbulu Mjini (Zacharia Paul), Kilindi
(Kigua Mohamed), Namtumbo (Edwin Ngonyani), Ushetu (Elias Kuandikwa), Bumbuli
(January Makamba), Segerea (Bonnah Kaluwa), Kalambo (Josephat Kandege),
Wanging’ombe (Gerson Lwenge), Kigoma Kaskazini (Peter Serukamba), Muhambwe
(Justus Nditiye), Kasulu Vijijini (Agustie Vuma) na Kilolo (Venance Mwamoto).
Kwa upande wa Chadema, hadi sasa kimejinyakulia
majimbo 35 ambayo ni Kibamba (John Mnyika), Mikumi (Joseph Haule), Bukoba Mjini
(Wilfred Lwakatare), Same Mashariki (Nagenjwa Kayoboka), Rombo (Joseph
Selasini), Bunda Mjini (Ester Bulaya), Hai (Freeman Mbowe) na Mbeya Mjini
(Joseph Mbilinyi).
Majimbo mengine ni Kawe (Halima James Mdee),
Longido (Onesmo Nangole), Ukonga (Waitara Mwita), Mlimba (Suzan Kiwanga),
Singida Mashariki (Tundu Lissu), Ubungo (Said Kubenea), Mbozi (Paschal Haonga),
Tunduma (Frank Mwakajoka), Momba (David Silinde), Kilombero (Peter Lijualikali)
na Karatu (Willy Qambalo).
Aidha, chama hicho kilishinda katika majimbo ya
Simanjiro (James ole Millya), Arumeru Magharibi (Gipson ole Meseyeki), Tarime
Mjini (Ester Matiko), Siha (Godwin Mollel), Buyungu (Kasuku Bilago), Monduli
(Julius Kalanga), Arumeru Mashariki (Joshua Nassari), Serengeti (Marwa Ryoba)
na Babati Mjini (Pauline Gekul).
Mengine ni Moshi Mjini (Jaffar Michael), Tarime
Vijijini (John Heche), Iringa Mjini (Peter Msigwa), Ndanda (Cecil Mwambe) na
Moshi Vijijini (Anthony Komu). CUF yenyewe hadi sasa kina majimbo 17 ambayo ni
Temeke (Abdallah Mtolea), Mchinga (Hamidu Bobali), Kilwa Kusini (Said Bungala),
Kaliua (Magdalena Sakaya), Tandahimba (Ahmad Katani), Mtwara Mjini (Maftaha
Nachuma), Kinondoni (Maulid Mtulia), Kilwa Kaskazini (Vedasto Ngombale) na
Tanga Mjini (Musa Mbaruk).
Majimbo mengine ni Wawi, Chakechake, Ole, Ziwani,
Kojani, Gando, Wete na Mgogono.
WABUNGE WA UPINZANI (CHADEMA, CUF, ACT WAZALENDO, NCCR MAGEUZI).
Hai(Freeman Mbowe), Vunjo (James Mbatia) Kigoma Mjini (Zitto Kabwe), Arumeru Mashariki (Joshua Nassari), Kawe (Halima Mdee), Ukonga (Waitara Mwita), Kibamba (John Mnyika), Ubungo (Said Kubenea), Bunda Mjini (Ester Bulaya), Tunduma (Frank Mwakanjoka), Siha (Dk Godwin Mollel), Tarime Vijijini (Esther Matiko), Same Mashariki (Nagenjwa Kayoboka),Kaliua (Magdalena Sakaya), Mlimba (Suzan Kiwanga), Iringa Mjini (Peter Msigwa). Source: HABARILILEO ONLINE
0 comments:
Post a Comment