Nafasi Ya Matangazo

July 17, 2015


Msanii wa filamu na kuigiza sauti, Steven Mengele 'Steve Nyerere' (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam.
 Msanii wa filamu na kuigiza sauti, Steven Mengele 'Steve Nyerere'akizungumza na waandishi wa habari juu ya adhma yake hiyo.
 Wasanii wa Filamu 'Bongo Movie' ambao walimsindikiza Steve Nyerere kuchukua fomu.
Wasanii wakifuatilia tukuo la kuchukua fomu Steve Nyerere.
Posted by MROKI On Friday, July 17, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo