Nafasi Ya Matangazo

July 18, 2015

SAM_3843
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha.
SAM_3852
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea kiasi cha shilingi laki moja kwaajili ya fomu  ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3849
Catherine Magige akionyesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3842
Catherine Magige akiteta jambo na akinamama waliokuja kumsindikiza kuchukua fomu,asisitiza kushirikiana na akinamama
SAM_3839
Catherine Magige akisalimiana na akinamama
SAM_3840
Catherine Magige akiingia katika jengo la CCM mkoa kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha,
SAM_3858
Hapa kampeni meneja wake Ezekiel akizungumza  na akinamama waliomsindikiza Catherine Magige kuchukua fomu ya nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha. Source:Pamela Mollel wa jamiiblog)
Posted by MROKI On Saturday, July 18, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo