Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu cha, Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam.
Meneja Kiongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha
Kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha, Darul-Arqam, Ustaadh
Hemed Jaffar. Hafla hiyo ilifanyika Tandika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni
Ofisa Mkaguzi wa NSSF mkoa wa Temeke, Ummy Kimario na kushoto ni Ofisa wa Huduma kwa Wateja, Carolyne Newa.
Ofisa Mkaguzi wa NSSF mkoa wa Temeke, Ummy Kimario (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa madaftari kwa mtoto, Ally Abdallah.
Ofisa Mkaguzi wa NSSF mkoa wa Temeke, Ummy Kimario (kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa madaftari kwa mtoto, Ally Abdallah.
Viongozi wa NSSF mkoa wa Temeke wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu cha Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja. PICHA ZAIDI FK MATKUO
0 comments:
Post a Comment