
Msimamizi wa Uchaguzi na mkurugenzi wa
halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza wakati wa
kutangaza matokeo katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa mji mdogo
wa Himo.
![]() |
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika
uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa.![]() |
![]() |
Baadhi ya viongozi waliofika kushuhudia
Uchaguzi huo.![]() |
Mkurugenzi wa wilaya ya Moshi,Fulgence
Mponji akitoa ufafanuzi katika uchaguzi huo.![]() |
Baadhi ya madiwani walioshiriki uchaguzi
huo.![]() |
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya
Moshi,Moris Makoi akisalimia mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi
huo.![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa kufunga kikao cha uchaguzi huo. |
![]() |
| Dc Makunga akipeana mkono na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Moris Makoi mara baada ya kuzungumza
katika uchaguzi huo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini. |














0 comments:
Post a Comment