Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akimkabidhi zawadi mwalimu wa shule ya sekondari Kiwere mwalimu Elika baada ya kuwa ni mmoja kati ya walimu bora shuleni hapo.
|
| Wanafunzi wa kidato cha tano Kiwere Sekondari wakionyesha maonyesho ya mavazi wakati wa mahafali ya kidato cha nnee shuleni hapo |
| Wanafunzi wa kiwere Sekondari wakionyesha show ya ukweli wakati wa mahafali ya kidato cha nne |
| Mbunge Mgimwa akiwahotubia wananchi katika mahafali hayo |
| Mhitimu wa kidato cha nne KIwere Sekondari akikabidhiwa cheti chake na mbunge Mgimwa |
| Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne Kiwere Sekondari |
| Mbunge Mgimwa akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa kidato cha nne kiwere sekondari. |




0 comments:
Post a Comment