Nafasi Ya Matangazo

August 07, 2014

 Afisa Mwendeshaji wa PPF, Tumpe Mwaitenda akimsikiliza mwananchi aliyetembelea banda la lao lililopo ndani ya Banda la Wizara ya Fedha katika maonesho ya wakulima nane nane kitaifa viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi. Wizara ya Fedha ipo na taasisio zake zote inazozisimamia.
 Watu wa ugavi na manunuzi nao wapo bandani humo.
 Mkutubi wa Chuo cha Mipango Dodoma, Erick Mhokole akitoa somo kwa wananchi.


PSPF nao wapo bandani humo na wanatoa huduma kama kawaida hasa ile ya Uchangiaji wa hiari.
Posted by MROKI On Thursday, August 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo