Nafasi Ya Matangazo

May 20, 2014

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander.  Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na Leo Tena vya Clouds FM.
Meneja Usambazaji wa Kampuni  inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi  ya bima Tanzania, Donald Galinoma (kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. katikati ni Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.
Posted by MROKI On Tuesday, May 20, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo