Nafasi Ya Matangazo

May 09, 2014



Basi la Kampuni ya DAR EXPRESS lenye namba za usajili T 580CFP linalodaiwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Jiji la Nairobi nchini Kenya limepunduka hii leo asubuhi katika eneo la Wami Mkoani Pwani. 

Abiria kadhaa wamejeruhiwa katika ajali hiyo ambayo bado cxhanzo chake hakijajulikana.
Posted by MROKI On Friday, May 09, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo