Nafasi Ya Matangazo

May 21, 2014

 Balozi Modest Mero, Balozi wa Tanzania katika Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Geneva Uswis, Modest Mero (wapili kushoto) akiwa pamoja na Wabunge wa Bunge la Uganda, Theopista Nabulya Ssentengo (kulia) Dk. Chris Baryomunsi  na Afisa wa Bunge hilo anaeshughulika na Sera, Emmanuel Bigirwa (kushoto) wakifuatilia shughuli za Bunge la Bajeti mjini Dodoma jana.
 Balozi Mero akiwa na baadhi ya Wabunge
 Balozi Mero akizungumza na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki (kushoto) na Mbunge Lediana Mung'ong'o.
Balozi Mero katika picha ya pamoja na Mbunge wa Mafia, Abdulkarim Shah pamoja na Manaibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki (kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya makamu wa Rais -Mazingira, Ummy Mwalimu.
Posted by MROKI On Wednesday, May 21, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo