Nafasi Ya Matangazo

January 06, 2014

 Msaidizi wa askofu wa KKKT dayosisi ya Arusha  Gabriel Kimirei akisalimiana na mke wa waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa,mama Regina Lowassa wakati wa Ibada ya ubarikio wa mtoto wa mwenyekiti wa ccm Arusha Onesmo Nangole iliyofanyika katika kanisa la KKKT Longido.Pembeni Mh Lowassa akitabasamu.
Lowassa na mkewe wakifurahia jambo.
Posted by MROKI On Monday, January 06, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo